Saturday, October 5, 2013

NUNUA / UZA KWA BEI RAHISI

 VIWANJA VINAUZWA
Viwanja Vinauzwa Mbezi kwa Yusufu barabara ya mpigi magoe.Ukubwa ni mita 20 kwa 25 ambazo ni square mita 500 kwa bei ya shilling milliomi tano mpaka saba ( negotiable) malipo kwa installment kwa mawasiliano kuhusu kuviona tupigie simu no 0715-716005.Pia mashamba yapo kila heka shillingi miliono 35 negoitable.30 Acres in land Image 4

    DREAMERS MICROFINANCE LOAN
Tunatoa fast loan kwa ajili ya kukupa tafu mkopo kuanzia laki moja (100,000) malipo ni ndani ya mwezi mmoja unapata ndani ya siku moja mkopo wako kwa mawasiliano no 0715-716005.


   MAFUNDI CARPENTER NA WELDING.
Tunapokea pia oda za kutengeneza makabati ya aina zote,vitanda.kupauwa nyumba aina zote za upauwaji mteja anaitaji.kutengeneza magril geti.mageti ya aina zote,matanki ya maji,kurepair vitasana nyavuza madirishapia tunatoa huduma hizo.Tupigie tutakufata popote ulipo kwa simu no.0715-94716005.
   UNAHITAJI GARI
Unaitaji gari na huna fedha za kutosha,Tuambie una kiasi gani cha fedha na aina gani ya gari unalohitaji tutakutafutia na utatimiza ndoto zako tupigie 0715-716005.
 
UNAITAJI KUANZISHA BLOG / WEBSITE
Unaitaji kutengeneza Blog, Website, Logo, Bango la biashara, pia kuprint T-shirt, na utengezezaji wa computer hardware na software tupigie 0715 716005

   CHARITY/MATENDO YA HURUMA
Watanzania tuna asili ya kusaidiana,kuna watoto yatima wanaitaji msaada mkubwa kwetu sisi kama Makutanotanzania.blogsport,com tunapita majumbani tunakusanya nguo,viatu za watoto ambazo zitawasitili watoto awa huu ni msaada tosha kwa vituo hivi vya yatima,vyakula na vingine vianavyoweza kuwasaidia yatima awa kuwapelekea kwenye vituo vyao.kama unaguswa na swala hili tukusanyie vitu hivyo na tupigie kupitia no 0715-716005.    


MUNGU AKUTANGULIE !!!!!!!!!!!!